Sera ya Faragha ya Tuvae App

Tumejitoa kulinda taarifa zako binafsi. Sera hii inaeleza jinsi tunavyokusanya na kutumia taarifa zako.

1. Taarifa Tunazokusanya

Tunapokusanya taarifa zako wakati wa kujisajili kwenye Tuvae:

2. Matumizi ya Taarifa Zako

Tunatumia taarifa zako kwa madhumuni yafuatayo:

3. Matumizi ya Taarifa na Washirika

Tunakishirikisha kiasi kidogo tu cha taarifa kwa washirika wanaotusaidia:

4. Usalama wa Taarifa

Taarifa zako zimehifadhiwa kwa usalama na nenosiri lako limefichwa (encrypted).

5. Haki Zako

6. Wasiliana Nasi

Kwa maswali au malalamiko kuhusu faragha, wasiliana nasi kupitia:
Barua Pepe: support@tuvaeapp.co.tz
Simu: +255684695309
Anuani: Mbeya, Iyunga near Lupeta Secondary School